• HABARI MPYA

  Jumamosi, Novemba 02, 2019

  MAN UNITED YAPIGWA 1-0 NA BOURNEMOUTH LEO LIGI KUU YA ENGLAND

  Joshua King akipiga mpira mbele ya Aaron Wan-Bissaka kuifungia bao pekee Bournemouth dakika ya 45 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Manchester United kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Vitality PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAN UNITED YAPIGWA 1-0 NA BOURNEMOUTH LEO LIGI KUU YA ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top