Mshambuliaji wa zamani wa Manchester United na England, Wayne Rooney akijimwagia maji wakati wa mazoezi ya timu yake mpya, DC United jana kujiandaa na mchezo wake wa kwanza wa Ligi Kuu ya Marekani (MLS) dhidi ya Vancouver Whitecaps Julai 10 baada ya mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 32 kujiunga na timu hiyo Washington DC akitokwa Everton ya kwao, England mwezi uliopita PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Baleba completes £70m Man Utd move from Brighton
-
Manchester United sign Cameroon midfielder Carlos Baleba from Brighton in a
£70m deal.
4 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment