SINGIDA UNITED YAMSAINI KIPA WA NJOMBE MJI FC MIAKA MITATU
Mkurugenzi wa Singida United, Sanga Festo (kulia) akimkabidhi fulana ya timu hiyo, kipa mpya, David Kisu aliyesajiliwa kutoka Njombe Mji FC
David Kisu akiwa na jezi ya Singida United baada ya kusaini mkataba wa miaka mitatu
0 comments:
Post a Comment