Beki Samuel Umtiti (wa pili kushoto) akipongezwa na wachezaji wenzake baada ya kuifungia Ufaransa bao pekee la ushindi dakika ya 51 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Ubelgiji kwenye mchezo wa Nusu Fainali Kombe la Dunia leo Uwanja wa Saint-Petersburg nchini Urusi. Ufaransa itakutana na mshindi wa Nusu Fainali ya pili kesho kati ya England na Croatia PICHA ZAIDI GONGA HAPA
A political amnesty law takes effect in Thailand but excludes lese majeste
-
An amnesty for political offenses committed in Thailand over the past two
decades took effect Monday, but the law excludes some of the more serious
cases, ...
3 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment