Kiungo wa kimataifa wa Uruguay, Lucas Torreira akifurahia baada ya kukamilisha usajili wake klabu ya Arsenal kwa dau la Pauni Milioni 25 kutoka Pescara alikokuwa anacheza kwa mkopo kutoka Sampdoria. Lucas Torreira anakuwa mchezaji wa nne kusajiliwa Arsenal chini ya kocha mpya, Mspaniola Unai Emery, baada ya Sokratis Papastathopoulos, Bernd Leno na Stephan Lichtsteiner PICHA ZAIDI GONGA HAPA
The top photos of the day by AP's photojournalists
-
From front page news to powerful moments you may have missed, this gallery
showcases today's top photos, chosen by Associated Press photo editors.
10 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment