Kiungo mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Simon Msuva (kulia) akifurahia na wachezaji wenzake wa Difaa Hassan El- Jadida ya Morocco mjini Setif, Algeria leo kabla ya mchezo wa Kundi B Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya wenyeji, ES Setif usiku huu Uwanja wa Mei 8, 1945
0 comments:
Post a Comment