Fabian Delph akiwa ameshika zawadi ya jezi ya mtoto ya timu ya taifa nchini Urusi jana aliyopewa na Chama cha Soka England (FA) aliporejea kwenye kambi ya Three Lions baada ya kupewa ruhusa kwenda nyumbani kufuatia kuzaliwa kwa mtoto wake wa tatu, wa kike. Delph alirejea England kabla ya mchezo wa hatua ya 16 Bora Kombe la Dunia dhidi ya Colombia baada ya kuzaliwa binti yake huyo, lakini mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28 wa Manchester City amewahi mchezo wa Robo Fainali PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Development control begins demolition of 30 houses on Abuja ring road 3
corridor
-
The Department of Development Control of the Federal Capital Territory
Administration (FCTA) has commenced the demolition of about 30 buildings
obstructi...
4 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment