Nahodha wa Simba SC, Mohammed Hussein 'Tshabalala' (kushoto) akizungumza na Waandishi wa Habari mjini Nakuru, Kenya leo kuelekea mechi ya kesho ya SportsPesa Super Cup dhidi ya Kariobangi Sharks itakayofanyika Uwanja wa Afraha. Kulia ni kocha wa Simba, Mfaransa Pierre Lechantre
0 comments:
Post a Comment