SHEKHAN RASHID NA JOSEPH KANIKI 'GOLOTA' MAMBO SAFI ULAYA
Nyota wa zamani wa Simba SC, kiungo Shekhan Rashid (kushoto) na watoto wake, ameposti picha hii akiwa na mchezani mwenzake wa zamani wa klabu hiyo na timu ya taifa, Joseph Kaniki 'Golota' nchini Sweden wanapoishi kwa sasa
0 comments:
Post a Comment