Nahodha wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Mbwana Samatta (kushoto) anayechezea klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji akiwa Nahodha wa Kenya, Victor Wanyama anayechezea Tottenham Hotspur ya England katika uzinduzi wa Mashindano ya Ndondo Cup Uwanja wa Kinesi, Shekilango, Dar es Salaam jana
Awali ya hapo, Victor Wanyama (katikati) alikuwa visiwani Zanzibar kwa utalii




.png)
0 comments:
Post a Comment