• HABARI MPYA

    Saturday, August 15, 2015

    MTOTO WA PELE AENDELEA KUTISHA ENGLAND, APIGA BAO SWANSEA YAUA 2-0


    Wauwaji; Mshambuliaji wa Swansea City, Bafetembi Gomis (kushoto) akishangilia baada ya kuifungia timu yake katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Newcastle Ligi Kuu ya England jioni ya leo. Bao lingine lilifungwa Andre Ayew kulia, mtoto wa Mwanasoka Bora wa zamani Afrika, Abedi Pele PICHA ZAIDI GONGA HAPA
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MTOTO WA PELE AENDELEA KUTISHA ENGLAND, APIGA BAO SWANSEA YAUA 2-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top