![]() |
| Nahodha John Bocco ameifungia Azam FC ikishinda 3-0 dhidi ya Mafunzo |
Mabao ya Azam FC leo yamefungwa na mabeki Shomary Kapombe, Aggrey Morris na mshambuliaji na Nahodha John Raphael Bocco ‘Adebayor’.
Azam FC imeweka kambi visiwani Zanzibar kujiandaa na mchezo wa Ngao ya Jamii Agosti 22 Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam dhidi ya Yanga SC.



.png)
0 comments:
Post a Comment