Wachezaji wa timu ya Viongozi wa Simba SC, wakimpongeza mwenzao Dylan Kerr baada ya kufunga bao pekee katika ushindi wa 1-0 dhidi ya timu ya Wasanii Tanzania Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam jioni hii katika mfululizo wa tamasha la Simba Day.
Muingereza Kerr ambaye ni kocha Mkuu wa SImba SC akitafuta maarifa ya kumtoka beki wa wasanii
Beki wa Wasanii, M 2 The P akipambana na Kelvin wa Simba
Hajji Manara wa SImba akiwatoka wachezaji wa Wasanii
Issa Batenga wa Simba SC akipambana na mchezaji wa Wasanii
Kocha wa Simba SC, Evans Aveva akiwa na benchi lake zima la Ufundi
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
OMTO WAJA NA MAKUBWA 2024
-
Mkurugenzi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts
Organization (OMTO), Anna Haule akizungumza wakati mkutano wa kwanza wa
mwak...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment