• HABARI MPYA

  Tuesday, July 04, 2023

  YANGA SC KUCHEZA NA NYASA BIG BULLETS KESHOKUTWA MALAWI


  KLABU ya Yanga SC keshokutwa itacheza mechi ya kirafiki na wenyeji, Nyasa Big Bullets Uwanja wa Bingu Mutharika Jijini Lilongwe katika kuazimisha sherehe za miaka 59 ya Uhuru wa Malawi.
  Mchezo huo ambao mgeni rasmi atakuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan utaonyeshwa LIVE na AzamSports2HD kuanzia saa 10:00 Jioni.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA SC KUCHEZA NA NYASA BIG BULLETS KESHOKUTWA MALAWI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top