• HABARI MPYA

    Tuesday, July 04, 2023

    FIFA YAIPONGEZA JKT QUEENS KUTWAA UBINGWA LIGI YA WANAWAKE


    SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (FIFA) limeipongeza KLABU ya JKT Queens kwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara msimu wa 2022 - 2023.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: FIFA YAIPONGEZA JKT QUEENS KUTWAA UBINGWA LIGI YA WANAWAKE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top