• HABARI MPYA

  Thursday, July 06, 2023

  SIMBA SC YACHUKUA KOCHA WA MAKIPA ALIYEONDOLEWA AZAM FC


  KLABU ya Simba SC imemtambulisha Mspaniola Daniel Cadena kuwa kocha wake mpya wa makipa kuelekea msimu ujao.
  Daniel Cadena anahamia Simba baada ya kufanya kazi Azam FC msimu uliopita, kabla ya mabadiliko yaliyofanywa kukuondoa kazini pamoja na wenzake wote aliokuwa nao benchini.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC YACHUKUA KOCHA WA MAKIPA ALIYEONDOLEWA AZAM FC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top