• HABARI MPYA

  Thursday, July 06, 2023

  FEISAL SALUM AANZA MAZOEZI AZAM FC, JUMAPILI TUNISIA


  KIUNGO Feisal Salum Abdallah ni miongoni mwa wachezaji walioripoti kwenye mazoezi ya kwanza ya Azam FC leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam kabla ya timu kusafiri Jumapili kwenda kambini Tunisia.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: FEISAL SALUM AANZA MAZOEZI AZAM FC, JUMAPILI TUNISIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top