• HABARI MPYA

  Monday, March 06, 2023

  YACOUBA SOGNE MCHEZAJI BORA, MEXIME KOCHA BORA FEBRUARI


  NYOTA wa Kimataifa wa Burkina Faso, Yacouba Sogne wa Ihefu SC ameshinda Tuzo ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, huku Mecky Mexime wa Kagera Sugar akibeba tuzo ya Kocha Bora kwa mwezi Februari, mwaka huu.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YACOUBA SOGNE MCHEZAJI BORA, MEXIME KOCHA BORA FEBRUARI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top