MRUNDI NTIBANZONKIZA ALIVYOANZA MAZOEZI LEO NA KLABU YAKE MPYA, YANGA SC KIGAMBONI
KIUNGO mpya wa Yanga SC, Mrundi, Saido Ntibanzonkiza akiwa mazoezini na klabu yake hiyo mya leo Uwanja wa AVIC, Kigamboni Jijini Darves Salaam baada ya kuwasili jana kufuatia kusiani mkataba Oktoba mwaka huu
0 comments:
Post a Comment