• HABARI MPYA

  Alhamisi, Desemba 03, 2020

  SIMBA SC YARIDHIA MASHABIKI WOTE KUINGIA BENJAMIN MKAPA MECHI NA PLATEAU UNITED JUMAMOSI


  Taarifa hii inafuatia Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kupinga tamko lililotolewa Afisa Habari wa klabu hiyo, Haji Sunday Manara kwamba mechi dhidi ya Plateau United wataruhusiwa kuingia mashabiki wa Simba SC pekee.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SIMBA SC YARIDHIA MASHABIKI WOTE KUINGIA BENJAMIN MKAPA MECHI NA PLATEAU UNITED JUMAMOSI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top