• HABARI MPYA

  Ijumaa, Desemba 04, 2020

  NKETIAH, LACAZETTE WAFUNGA ARSENAL YASHINDA 4-1 EUROPA LEAGUE


  ARSENAL jana imeitandika Rapid Wien 4-1 katika mchezowa Kundi B UEFA Europa League usiku Uwanja wa Emirates, London.
  Mabao ya Arsenal inayofikisha pointi zake 15 na kuendelea kuongoza Kundi B kwa pointi sita zaidi ya Molde FC, mabao yake yalifungwa na Alexandre Lacazette dakika ya 10, Pablo Marí dakika ya 18, Eddie Nketiah dakika ya 44 na E. Smith Rowe 66, wakati la Rapid Wien lilifungwa na Koya Kitagawa dakika ya 47 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: NKETIAH, LACAZETTE WAFUNGA ARSENAL YASHINDA 4-1 EUROPA LEAGUE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top