• HABARI MPYA

  Ijumaa, Desemba 04, 2020

  KIUNGO WA YANGA, MAPINDUZI BALAMA APELEKWA AFRIKA KUSINI KWA UCHUNGUZI NA MATIBABU ZAIDI


  Kiungo wa Yanga SC, Mapinduzi Balama ameondoka jana kwenda Afrika Kusini kufanyiwa uchunguzi zaidi na matibabu baada ya kuumia mwishoni mwa msimu uliopita.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: KIUNGO WA YANGA, MAPINDUZI BALAMA APELEKWA AFRIKA KUSINI KWA UCHUNGUZI NA MATIBABU ZAIDI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top