SIMBA SC YAENDELEA KUIMARISHA KIKOSI, YAMSAJILI WINGA WA KMC YA KINONDONI CHARLES ILAMFYA
Kocha Msaidizi wa Simba SC, Suleiman Matola akimkabidhi nakala za mkataba winga Charles Ilamfya baada ya mchezaji huyo kujiunga na mabingwa hao wa Tanzania Bara akitokea KMC ya Kinondoni
0 comments:
Post a Comment