• HABARI MPYA

  Ijumaa, Agosti 14, 2020

  SUNDAY MANARA, MTANZANIA WA KWANZA KUCHEZA SOKA ULAYA

  Mtanzania wa kwanza kucheza soka ya kulipwa Ulaya, kiungo mshambuliaji, Sunday Manara akimtoka beki wa timu pinzani wakati akiichezea SC Heracles ya Uholanzi. Manara mwenye umri wa miaka 67 sasa, aliichezea klabu hiyo kuanzia Desemba 1977 hadi Julai 1978 alipohamia SV St. Veit ya Austria, New York Eagles ya Marekani Al-Nasr ya Dubai baada ya awali kuchezea Yanga na Pan Africans za Dar es Salaam.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SUNDAY MANARA, MTANZANIA WA KWANZA KUCHEZA SOKA ULAYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top