• HABARI MPYA

  Jumatano, Agosti 05, 2020

  TORRES ATUA MAN CITY KWA PAUNI MILIONI 20.9 KUTOKA VALENCIA  Winga Ferran Torres mwenye umri wa miaka 20 akiwa ameshika jezi ya Manchester City baada ya kukamilisha uhamisho wa Pauni Milioni 20.9 akisaini mkataba wa miaka mitano kutoka Valencia ya kwao, Hispania PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: TORRES ATUA MAN CITY KWA PAUNI MILIONI 20.9 KUTOKA VALENCIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top