• HABARI MPYA

  Jumanne, Agosti 04, 2020

  CLATOUS CHAMA AKABIDHI MSAADA WA FEDHA TASLOMU SH MILIONI MOJA KITUO CHA WATOTO YATIMA KINONDONI

  KIUNGO Mzambia wa Simba SC, Clatous Chama leo amekabidhi msaada wa Sh. Milioni 1 katika kituo cha watoto yatima cha Maunga kilichopo Kinondoni, Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya utekeleza wa ahadi yake aliyoitoa jana wakati anakabidhiwa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Simba iliyotolewa na mdhamini mkuu wa klabu, kampuni ya Sportpesa Tanzania  
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: CLATOUS CHAMA AKABIDHI MSAADA WA FEDHA TASLOMU SH MILIONI MOJA KITUO CHA WATOTO YATIMA KINONDONI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top