• HABARI MPYA

  Alhamisi, Agosti 06, 2020

  FURAHA YA SIMBA QUEENS BAADA YA KUTWAA UBINGWA WA LIGI KUU YA WANAWAKE JANA

  Wachezaji wa Simba Queens wakifurahia kutwaa ubingwa wa Ligi ya wanawake Tanzania Bara wakiwa na mechi mbili mkononi – baada ya ushindi wa 5-0 dhidi ya Bao Bab jana jioni Uwanja wa Uhuru.

  Ushindi wa jana umeifanya Simba Queens inayofundishwa na mchezaji wa zamani wa timu ya wanaume, Mussa Hassan Mgosi ifikishe pointi 53, saba zaidi ya waliokuwa mabingwa watetezi, JKT Queens.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: FURAHA YA SIMBA QUEENS BAADA YA KUTWAA UBINGWA WA LIGI KUU YA WANAWAKE JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top