• HABARI MPYA

  Jumamosi, Agosti 01, 2020

  BEKI WA KUSHOTO WA POLISI TANZANIA, YASSIN MUSTAPHA SALUM ASAINI MKATABA WA MIAKA MIWILI KUJIUNGA NA YANGA SC

  BEKI wa kushoto, Yassin Mustapha Salum akiwa na Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga SC, Wakili Patrick Simon (kulia) wakati wa kusaini mkataba wa miaka miwili kujiunga na Wana Jangwani akitokea Polisi Tanzania ya Kilimanjaro 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BEKI WA KUSHOTO WA POLISI TANZANIA, YASSIN MUSTAPHA SALUM ASAINI MKATABA WA MIAKA MIWILI KUJIUNGA NA YANGA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top