• HABARI MPYA

  Alhamisi, Agosti 06, 2020

  ABDALLAH SHAIBU 'NINJA' ASAINI MKATABA WA MIAKA MIWILI KUREJEA KAZINI YANGA SC

  BEKI Abdallah Shaibu ‘Ninja’ (katikati) akiwa na Makamu Mwenyekiti wa klabu, Frederick Mwakalebela (kushoto) na kaimu Katibu Mkuu, Wakili Simon Patrick (kulia) baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili kurejea klabu hiyo kufuatia kuondoka kwa msimu mmoja kwenda kucheza soka ya kulipwa Marekani 


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ABDALLAH SHAIBU 'NINJA' ASAINI MKATABA WA MIAKA MIWILI KUREJEA KAZINI YANGA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top