KIUNGO MPYA, AWESU AWESU ALIVYOANZA KUJIFUA AZAM FC JANA KUJIANDAA NA MSIMU MPYA
Mchezaji mpya wa Azam FC, Awesu Awesu akimtoka kiungo mwenzake, Mudathir Yahya kwenye mazoezi ya kwanza ya timu hiyo kujiandaa na msimu mpya jana Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar e Salaam. Awesu Awesu aliyesajiliwa kutoka Kagera Sugar ya Bukoba akiwa na kocha Mromania, Aristica Cioaba mazoezini jana
0 comments:
Post a Comment