• HABARI MPYA

  Ijumaa, Februari 07, 2020

  BARCELONA WAPIGWA 1-0 N KUTUPWA NJE KOMBE LA MFALME

  Wachezaji wa Barcelona wakiwa hawaamini macho yao baada ya kuchapwa 1-0 na Athletic Bilbao bao pekee la mshambuliaji Mspaniola, Inaki Williams mwenye asili ya Ghana dakika ya 90 na ushei, sekunde chache baada ya Lionel Messi kukosa bao la wazi kwenye mchezo wa Robo Fainali Kombe la Mfalme usiku wa jana Uwanja wa San Mamés Barria mjini Bilbao, hivyo kutolewa kwenye michuano hiyo 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BARCELONA WAPIGWA 1-0 N KUTUPWA NJE KOMBE LA MFALME Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top