• HABARI MPYA

  Jumatatu, Februari 10, 2020

  'FUNDI' MBARAKA YUSSUF AREJEA MAZOEZINI AZAM FC BAADA YA KUWA NJE MWAKA MZIMA

  Mshambuliaji MbarakaYusuph akiwa mazoezini na timu yake, Azam FC jana baada ya kuwa nje kwa takribani mwaka mmoja kutokana na maumivu ya goti

  Mbaraka Yussuf alifanyiwa upasuaji wa goti lake la mguu wa kulia Aprili mwaka jana katika Hospitali ya Vincent Pallotti jijini Cape Town, Afrika Kusini

  Na hiyo ni baada ya kubainika amechanika mtulinga wa kati wa goti hilo, kitaalamu Anterior Cruciate Ligament Tear
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: 'FUNDI' MBARAKA YUSSUF AREJEA MAZOEZINI AZAM FC BAADA YA KUWA NJE MWAKA MZIMA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top