• HABARI MPYA

  Jumatano, Februari 19, 2020

  ATLETICO MADRID YAICHAPA LIVERPOOL 1-0 WANDA METROPOLITANO

  Mshambuliaji wa Liverpool, Sadio Mane akimrukia Sime Vrsaljko wa Atletico Madrid usiku wa jana Uwanja wa Wanda Metropolitano Jijini Madrid kwenye mchezo wa kwanza hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya. Atletico Madrid ilishinda 1-0, bao pekee la Saul Niguez dakika ya nne na sasa timu hizo zitarudiana Machi 11 Uwanja wa Anfield 
    
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ATLETICO MADRID YAICHAPA LIVERPOOL 1-0 WANDA METROPOLITANO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top