• HABARI MPYA

  Jumamosi, Februari 22, 2020

  WLDER NA TYSON WAPIMA UZITO ILI KUZICHAPA KESHO MGM GRAND

  Bondia Muingereza, Tyson Fury akionyesha hasira zake wakati wa kupima uzito leo kuelekea pambano la ngumi za za kulipwa uzito wa juu dhidi ya Mmarekani, Deontay Wilder Alfajiri ya kesho ukumbi wa MGM Grand Arena Jiji Las Vegas ambako ltakuwa la marudiano baada ya wawili kutoka droo Desemba mwaka 2018. 
  Fury amepata Paundi 273, ikiwa ni pungufu ya Paundi tatu tu kati ya uzito wake mkubwa zaidi, wakati Wilder amepata Paundi 231, ambazo ni nyingi zaidi kwake kihistoria akienda kutetea taji lake la WBC kwa mara ya 11 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: WLDER NA TYSON WAPIMA UZITO ILI KUZICHAPA KESHO MGM GRAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top