• HABARI MPYA

  Ijumaa, Februari 07, 2020

  AGUERO ASHINDA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA MWEZI ENGLAND

  Mshambuliaji wa Manchester City, Sergio Aguero akiwa ameshika tuzo ya Mchezaji Bora wa Januari wa Ligi Kuu ya England baada ya kukabidhiwa leo kufuatia kushinda kwa mara ya saba na kuvunja rekodi za Steven Gerrard na Harry Kane waliowahi kushinda mara sita kila mmoja 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: AGUERO ASHINDA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA MWEZI ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top