• HABARI MPYA

  Alhamisi, Februari 20, 2020

  WILDER NA TYSON FURY WATAKA KUZIPIGA 'KAVU KAVU' LAS VEGAS

  Bondia Mmarekani, Deontay Wilder (kushoto) akimsukuma mpinzani wake, Muingereza Tyson Fury jana kwenye mkutano na wa mwisho na Waandishi wa Habari mjini Las Vegas, Marekani kuelekea pambano lao la Jumapili asubuhi ukumbi wa MGM Grand Jijini humo, ambalo ltakuwa na marudiano baada ya wawili hap kutoka droo Desemba 2018 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: WILDER NA TYSON FURY WATAKA KUZIPIGA 'KAVU KAVU' LAS VEGAS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top