• HABARI MPYA

  Wednesday, February 19, 2020

  HAALAND APIGA MBILI BORUSSIA DORTMUND YAITANDIKA PSG 2-1

  Wachezaji wa Borussia Dortmund wakimpongeza mwenzao Erling Haaland baada ya kufunga mabao yote mawili dakika za 69 na 77 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Paris Saint-Germain usiku wa jana Uwanja wa Signal-Iduna-Park kwenye mchezo wa kwanza hatua ya 16 Bora Ligi ta Mabingwa Ulaya. Bao pekee la Paris Saint-Germain lilifungwa Neymar dakika ya 75 na sasa timu hizo zitarudana Machi 11 Ufaransa 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: HAALAND APIGA MBILI BORUSSIA DORTMUND YAITANDIKA PSG 2-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top