• HABARI MPYA

  Alhamisi, Februari 13, 2020

  POGBA AANZA MAZOEZI KWA BIDII ILI AWAVAE MAN CITY MACHI 8

  Nyota wa Manchester United, Paul Pogba akijifua gym baada ya kupata ahueni ya maumivu ya kifundo cha mguu yanayomuandama tangu Septemba mwaka jana na sasa anapambana awe fiti kabla ya pambano dhidi ya mahasimu wao wa Jiji, Manchester City Machi 8 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: POGBA AANZA MAZOEZI KWA BIDII ILI AWAVAE MAN CITY MACHI 8 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top