Nahodha Sergio Ramos akishangilia baada ya kuifungia bao la pili Real Madrid dakika ya 38 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya wenyeji, Osasuna usiku wa jana Uwanja wa El Sadar, Pamplona kwenye mchezo wa La Liga. Mabao mengine ya Real Madrid yalifungwa na Isco dakika ya 33, Lucas Vázquez dakika ya 84 na Luka Jovic dakika ya 90 na ushei wakati la Osasuna lilifungwa na Unai Garcia dakika ya 14 na kwa ushindi huo kikosi cha kocha Mfaransa, Zinadine Zidane kinafikisha pointi 52 katika mchezo wa 23 kikiendelea kuwazidi mabingwa watetezi, Barcelona pointi tatu kileleni PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Scheffler equals course record to lead first play-off event
-
Scottie Scheffler equalls the course record with a nine-under 61 as he
opens up a three-stroke lead at the end of the second round of the St Jude
Champions...
5 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment