• HABARI MPYA

  Jumapili, Februari 09, 2020

  'MAKAPTENI' WA MZIZIMA UNITED NA WA MERU WARRIORS TAIFA CUP 1992

  MANAHODHA wa timu mikoa ya Dar es Salaam (kulia) na Arusha (kushoto) wakiwa na marefa kabla ya mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la Taifa ‘Taifa Cup’ mwaka 1992 Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza. Kutoka kulia na wachezaji wa Dar es Salaam ‘Mzizima United’ Abeid Mziba, Suleiman Pembe, marefa Cosmas Mkonda Opuku wa Mara (marehemu), Abra Mwakapugi wa Shinyanga (marehemu), Nassor Hamdoun wa Kigoma, Said Almasi wa Mwanza (marehemu) na wachezaji wa Arusha ‘Meru Warriors’ Rashid Iddi Chama na Suleiman Mathew Luwongo. Meru Warriors ilishinda 2-0, mabao ya Feruzi Juma na Said Mrisho ‘Zico wa Kilosa’ (marehemu).
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: 'MAKAPTENI' WA MZIZIMA UNITED NA WA MERU WARRIORS TAIFA CUP 1992 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top