• HABARI MPYA

  Jumamosi, Februari 22, 2020

  LIONEL MESSI APIGA NNE BARCELONA YAICHAPA EIBAR 5-0 LA LIGA

  Lionel Messi akishangila kibabe baada ya kufunga mabao manne dakika za 14, 37, 40 na 87 katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Eibar kwenye mchezo wa La Liga leo Uwanja wa Camp Nou, bao lingine likifungwa Arthur dakika ya 89. Kwa ushindi huo, kikosi cha Quique Setien kinafikisha pointi 55 katika mchezo wa 23 na kurejea kileleni mwa La Liga, sasa kikiwazidi pointi mbili mahasimu, Real Madrid ambao usiku huu wanacheza mechi yao ya 23 pia dhidi ya Levante 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: LIONEL MESSI APIGA NNE BARCELONA YAICHAPA EIBAR 5-0 LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top