• HABARI MPYA

  Jumamosi, Februari 15, 2020

  COASTAL UNION YAICHAPA AZAM FC 2-1 UHURU NA KUREJEA NAFASI YA TATU KWENYE MSIMAMO WA LIGI KUU

  Wachezaji wa Coastal Union wakimpongeza mwenzao, Ayoub Lyanga baada ya kufunga bao la kwanza dakika ya 37 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Coastal Union leo Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam.
  Bao la pili la Coastal Union limefungwa na Mudathir Said dakika ya 64, wakati bao pekee la Azam FC limefungwa na mshambuliaji wake Mzambia, Obrey Chirwa dakika ya 90 na ushei 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: COASTAL UNION YAICHAPA AZAM FC 2-1 UHURU NA KUREJEA NAFASI YA TATU KWENYE MSIMAMO WA LIGI KUU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top