Bondia Mmarekani, Deontay Wilder (kulia) akiwa ameketi chini baada ya kuangushwa Muingereza, Tyson Fury (kushoto) katika pambano la ngumi za kulipwa la uzito wa juu asubuhi ya leo ukumbi wa MGM Grand Jijini Las Vegas, Marekani. Gypsy King alimuangusha mara mbili Bronze Bomber kabla ya wasaidizi wake kurusha taulo ulingoni raundi ya saba kumnusuru na kipigo zaidi hivyo Fury kutwaa taji la WBC kwa ushindi wa Technical Knockout (TKO) PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 day ago



.png)
0 comments:
Post a Comment