Wachezaji wa Arsenal wakipongezana baada ya ushindi wa kwanza katika Ligi Kuu ya England tangu waifunge Manchester United siku ya mwaka mpya, kufuatia kuichapa Newcastle United 4-0 jana mabao ya Pierre-Emerick Aubameyang dakika ya 54, Nicolas Pepe dakika ya 57, Mesut Ozil dakika ya 90 na Alexandre Lacazette dakika ya 90 na ushei Uwanja wa Emirates PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Jumatatu, Februari 17, 2020
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 maoni:
Chapisha Maoni