Kiungo wa Real Madrid, Federico Valverde (kushoto) akisikitka baada ya mshambuliaji Alexander Isak kuifungia Real Sociedad mabao mawili dakika za 54 na 56 katika ushindi wa 4-3 dhidi ya wenyeji kwenye mchezo wa Robo Fainali Kombe la Hispania usiku wa jana Uwanja wa Santiago Bernabeu Jijini Madrid. Mabao mengine ya Real Sociedad yalifungwa na Martin Odegaard dakika ya 22 na Mikel Merino dakika ya 69, wakati mabao ya Real Madrid yalifungwa na Marcelo dakika ya 59, Rodrygo dakika ya 8 na Nacho dakika ya 90 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Rain delays Raducanu in Hobart first round
-
Britain's Emma Raducanu will have to return to the court after rain delays
her first-round match against Camila Osorio in Hobart.
23 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment