• HABARI MPYA

  Jumapili, Februari 16, 2020

  KIKOSI CHA TUKUYU STARS KABLA YA MECHI DHIDI YA SIMBA SC 1991 TAIFA

  Kikosi cha Tukuyu Stars ya Mbeya kikiwa Uwanja wa Taifa (sasa Uhuru) Jijini Dar es Salaam kabla ya mechi dhidi ya wenyeji, Simba SC mwaka 1991. 
  Kutoka kulia waliosimama ni Kocha Msaidizi, Athumani Juma Kalomba (sasa marehemu), Joshua Kilale, Shaaban Katoto, Yohana Mjungu, Jimmy Mored, Abdallah Mwela, Mohamed Kasanda, Hassan Sissu, Maumba Mikidadi na Kocha Mkuu, Paul West Gwivaha (sasa marehemu). 
  Waliochuchumaa kutoka kulia ni John Moses, Zacharia Siame, Juma Rajabu ‘Mdigo’, Salum Kussi, Sekilojo Chambua, Steven Mussa (sasa marehemu), Costa Magoroso na Ahmed Mtenda. Simba ilishinda 1-0, bao pekee la Zamoyoni Mogella ‘Golden Boy’.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: KIKOSI CHA TUKUYU STARS KABLA YA MECHI DHIDI YA SIMBA SC 1991 TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top