• HABARI MPYA

  Jumatatu, Februari 10, 2020

  DEO KANDA AMEPONA NA YUKO 'FITI' KABISA KUICHEZEA SIMBA SC DHIDI YA MTIBWA SUGAR KESHO MOROGORO

  Kiungo wa Simba SC, Deo Kanda raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) akiwa mazoezini na timu yake jana Morogoro kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Mtibwa Sugar kesho Uwanja wa Jamhuri mjini humo 
  Beki Yussuf Mlipili akiwa mazoezini Simba SC jana Morogoro kujiandaa na mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar kesho Uwanja wa Jamhuri mjini humo  
  Kiungo Shiza Kichuya akiwa mazoezini Simba SC jana Morogoro kujiandaa na mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar kesho Uwanja wa Jamhuri mjini humo   
  Beki Shomari Kapombe akiwa mazoezini Simba SC jana Morogoro kujiandaa na mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar kesho Uwanja wa Jamhuri mjini humo   
  Wachezaji wa Simba SC wakiwa mazoezini jana Morogoro kujiandaa na mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar kesho 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: DEO KANDA AMEPONA NA YUKO 'FITI' KABISA KUICHEZEA SIMBA SC DHIDI YA MTIBWA SUGAR KESHO MOROGORO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top