• HABARI MPYA

  Alhamisi, Februari 20, 2020

  LEIPZIG WAITANDIKA TOTTENHAM HOTSPUR 1-0 PALE PALE LONDON

  Timo Werner (katikati) akishangilia baada ya kuifungia RB Leipzig bao pekee dakika ya 58 kwa penalti ikiwalaza wenyeji, Tottenham Hotspur 1-0 kwenye mchezo wa kwanza hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Tottenham Hotspur Jijini London 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: LEIPZIG WAITANDIKA TOTTENHAM HOTSPUR 1-0 PALE PALE LONDON Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top