• HABARI MPYA

  Thursday, February 20, 2020

  HATEBOER APIGA MBILI ATALANTA YAIKUNG'UTA 4-1 VALENCIA MILAN

  Hans Hateboer akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Atalanta mabao mawili dakika ya 16 na 62 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Valencia kwenye mchezo wa kwanza hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa usiku wa jana Uwanja wa Giuseppe Meazza mjini Milan. Mabao mengine ya Atalanta yalifungwa na Josip Ilicic dakika ya 42 na Remo Freuler dakika ya 57, wakati la Valencia lilifungwa na Denis Cheryshev dakika ya 66 na timu hizo zitarudiana Machi 10 Uwanja wa Mestalla 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: HATEBOER APIGA MBILI ATALANTA YAIKUNG'UTA 4-1 VALENCIA MILAN Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top