• HABARI MPYA

  Wednesday, February 26, 2020

  GRIEZMANN AISAWAZISHIA BARCELONA YATOA SARE YA 1-1 NA NAPOLI ITALIA

  Antoine Griezmann (kulia) akijiandaa kushangilia baada ya kuifungia bao la kusawazisha Barcelona dakika ya 57 ikitoa sare ya 1-1 na wenyeji, Napoli waliotangulia kwa bao la Dries Mertens dakika ya 30 katika mchezo wa kwanza Hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa San Paolo Jijini Napoli. Timu hizo zitarudiana  Machi 18 Camp Nou PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: GRIEZMANN AISAWAZISHIA BARCELONA YATOA SARE YA 1-1 NA NAPOLI ITALIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top